Katika video hii, Mwl. Emilian Busara (C.P.A) anafungua macho kwa kina kuhusu viashiria muhimu vya uwekezaji na vidokezo vya hali ya uchumi wa kitanzania kwa mwananchi kujiinua kiuchumi. Chukua hatua.
Kujenga uhuru wa kifedha
Kuepuka makosa ya kifedha
Kuelewa namna pesa inavyofanya kazi
Kuwekeza kwa hekima, si mihemko
🔥 Haya ni maarifa adimu, hasa kwa watu wanaotamani kuvunja minyororo ya umasikini wa kizazi hadi kizazi.
🔔 Bonyeza kengele ya arifa ili usipitwe na video zetu mpya!
Shiriki mijadala hii kupitia mitandao yetu ya kijamii @hubofwisdom.inc au tovuti www.hubofwisdom.com/media
Anza safari yako ya mafanikio leo!
Welcome to the home of positive vibes!
……………………………………………………………………
Session Credits : Udscm CCT
#UhuruWaKifedha #FinancialFreedom #EmilianBusara #Fedha #Maisha#Hisa #Utt #uwekezaji #fedha #mapato #Mafanikio #Kipato #FedhaSmart #Uwekezaji #BiasharaNdogo #UhuruWaKifedha #UhuruWaKifedha #BiasharaNaUwekezaji #ElimuYaFedha #MwlEmilianBusara #SeminaYaUchumi #Tanzania #Kenya #Uganda #Congo





Mungu akutunze baba bado tunakuhitaji una kitu kikbwa sana mtu akikusikiliza kwa utulivu
Tunamshukuru kwa haya madini.
Mungu akupe maisha marefu binafsi nakukubali