mgombea wa urais nchini Uganda bobie Wine Amesema nchi hiyo iko mbioni kupata ukombozi kama atafanikiwa kushinda kiti cha urais
Nae mgombea wa chama tawala NRM Rais Museveni amesema wataboresha sekta ya Elimu nchini humo kwa kujenga shule za msingi kwa kila Kijiji
Je ili taswira ya uchaguzi huo tafadhali fatilia makala hii fuli inayosimulia





Kazi kazi
Keep up mwanangu