Mwongozo wa hatua za kukupeleka kwenye ngazi mpya ya mafanikio Kwa kuwa msiri na kutazamiakutimiza mpango uliyojiwekea.
π Tazama video hii mpaka mwisho ili ujifunze namna ya kuishi kwa hekima na ulinzi wa kiroho.
π Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo mengine ya kina kutoka kwa viongozi wa kiroho na maendeleo binafsi.
π€ Share video hii ili kuhamasisha kizazi kinachotafuta ukuu wenye misingi bora.
Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media
……………………………………………………………………………………………………………
#Siri #DrElionaKimaro #Thubutu #Mafanikio #MaishaYako#MaaduiWaNdoto #MchKimaro #Motivation #LifeLessons #HekimaYaMaisha #Motivation #DrElionaKimaro #Inspiration #Faith #HWMedia#Ujasiri #Hofu #Motisha #Changamoto #MaendeleoBinafsi #Usiogope #Fanikio #Nidhamu #Self-Discpline #Adabu #Ukuu #RevElionaKimaro #NondoZaMaisha #HWMEDIA #MaendeleoBinafsi #MotishaYaKweli #Tabia #Invest Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri





Hapo mchungaji umenigusa kwenye suala la kutuma pesa nyumbani,kwamba mtu atanunaπ’ miaka na miaka ,,nakumbuka nilienda kwenye matatizo nyumbani kulikua na mgonjwa ambae ndie mlezi wangu na nilimjuza kabisa ila alikuja akanilaumu sana na kuniambia kulikua na umuhimu gani kwenda kumwona huyo mgonjwa kwani kwenu hakuna wakubwa unapoteza poteza pesa unawafaisha wenye makampuni ya mabus …kijana huyo alikuwa ni mchumba kwangu kabisa lakini kupitia hii situation niliamua kumwacha kwakweli π
Amina
Amina
Amina
Very true