Kenya Vs Uganda? Kauli ya Rais Yoweri Museveni kudai kwamba Bahari ya Hindi ya Kenya ni mali ya Uganda imezua mjadala mkubwa, kelele, vichekesho na maswali mazito mitandaoni. Katika video hii tunakuonyesha majibu ya Wakenya kupitia video 8 tofauti—kutoka kwa vijana wa TikTok, kina mama, wanaharakati wa mtandaoni, mpaka walimu wa siasa mitandaoni—wakijibu kauli ya Museveni na hata vitisho vya Mkuu wa Jeshi wa Uganda.
Hii ni drama mpya ya East Africa inayogusa siasa, uongozi, usalama wa mipaka na pia mtazamo wa wananchi kuhusu mgogoro huu wa “Bahari ya Hindi”. Tumeikusanya kwa ufupi na kwa ucheshi ili upate maoni yote kwa undani.
Katika video utapata:
– Kauli kamili ya Museveni kuhusu Bahari ya Hindi
– Wakenya wakiitafsiri kama mchezo wa kisiasa
– Vichekesho na kejeli za TikTok
– Maswali makali ya kina mama wa Kenya
– Swali kubwa: Je, Museveni yuko serious au ni siasa za mkondo wa juu?
– Kauli ya mwana wa Museveni akipatia Kenya saa 8 menyerende bahari
Tazama hadi mwisho ili kuelewa kwa nini Kenya na Uganda zinatrend kote mtandaoni.
Na usisahau kuacha comment: Unadhani Museveni alikuwa anatania… au hii ni onyo la kweli?
#KenyaVsUganda
#Museveni
#BahariYaHindi
#EastAfricaNews
#MizukaMedia
#KenyaTanzaniaUganda





Mizuka media kama unaipenda like hapa
Swali kwa wote wa Kenya, Uganda na Tanzania…
Kama kauli hii ya Museveni ni ya kweli, unadhani nini kinaendelea nyuma ya pazia?
Hiki ni kichekesho tu… au kuna tension halisi ya East Africa?
Andika maoni yako — tusikie sauti ya jamii!
Huyo raisi labuda huo muze amezeheka vibaya kenya siyo Rwanda ariyo kamata myaka4 kenya siyo congo kenya siyo sudani
Kenya msikubali huyo mzee achukue Ocean, alafu mkae mkijua hyo ni game mind. Mseven plays game mind in dangerous ways. I can say ni kama anajaribu watu wa kenya
Weeee Uganda mnatuita 😂😂😂❤sawa .. ikiwa wewe unatambua hii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga likes tukisonga give that flag respect
WE CAN ADOPT THEM THOUGH
Ako karibu kusema lake Victoria ni yake akishamalizana na indian ocean
Wewe,mafuta,Museveni, tutakunyonya, mavi,namudono
mseveni hana namna ya kupata attention ya waganda amepoteza umarufu kisiasa kwa hiyo anatafuta attention ya waganda kwa ajili ya kupata kura. waganda wote wapo kwa bobi wine nia ni kutofanya uchagusi uganda kwa kisingizio ya ugomvi ya bahari kati yake na kenya. UGANDANS OPEN YOUR EYES THIS IS TO DIVERT YOUR ATTENTION FROM ELECTION TO ENABLE MSEVENI TO CONTINUE RULING YOU. THERE IS NO WAY HE CAN CLAIM AND WIN even if it means war.
Huu ni uzee jamani
Mpuuzeni
Museveni anasumbuka na uzee.
Unataka kukufa Mzee
Investigate ruto murkomen and senator cheregei.they may have Avery background secret you Kenyans don't know
Huyu mzee mjinga sana akili imea ruka ana jua Yako uko karibu kutoka Uganda . Sasa an taka kuvuruga sisa ya Uganda aleta vita ndio apata kuka
Remember cheregei's speach about the abduction of 2 Kenyans activis that is enough to investigate him.
If this is true East Africa is rotten.
Tatizo sio bahari India tatizo ni East Africa community . Inafaa East Africa community ivunjwe ndipo East Africa kila mtu hatatulia . Na amani itapatikana maana tutaona ni nani Atakaeenda kumchokoza mwenzake . Tanzania au Kenya au Uganda . IVUNJENI EAST AFRICA COMMUNITY .
Museven nimugonjwa ata amechanganyikiwa ata hajui Kenya .somalia . Tanzania Iko wapi..Bahari Hindi sio busia.ata mtoto wa museven nika wamekunywa bangi.watafutiwe dactari waangaliwe kama wako sawa.
Na pia EAST AFRICA COMMINTY mnaitumia kama mwavuli wa kuingiliana mpaka ndani ya serikali zetu . Kwa kigezo cha East Africa community. MIMI NAONA EAST AFRICA COMMUNINTY IVUNJWE .
wakenya nikama umbwakoko wanabweka mkiamatakoni ndiomana watzi tunawafila mwangi tulimtowa bikila mseveni aanzetu tamsaidia somalia nayeye kule
Wazee wanazeeka vibaya 😂😂
Wacha anje sisi mijikenda ndiyo tutamsalimia kwanza kabla Kenya mzima aijaingia😂😂😂😂
UGANDA VS KENYA,SASA BENDERA YA TANZANIA INAHUSIKA NA NINI? NA EA SIO NCHI, KWANI KENYA NANI ANAOGOPA NYINYI MMEKUJA TANZANIA MMEKUFA NA SASA MNALIA OO TULIWEKWA JELA NA WENGINE MNALIA ETI AMEPIGWA RISASI ALIKUWA ANAENDA KUNUNUA CHAKULA NA WENGINE TULUDISHIE MIILI YA WATOTO WETU, SASA TUNATAKA MJE TENA TAR 9 ILI MUWASAIDIE TZ GEN Z NA WAUZA MAJENEZA WAFAIDIKE, HAKUNA WATU WA EA.
The end of M7 and his sick son.
Huyu Mzee utuuzma unamla akili au ndio kibur cha madaraka au ndio traore wa africa
Ngoja 9th December 2025 Gen-z tuchukue nchi Tanzania alafu Kenya na Tanganyika tutamnyoosha hstotumia bandari zetu kupitisha Mal ghafi zake, itutampiga mpaka asijue pa kwenda, mwenzie idd amini aliweza kukimbia yy karne hii hatoweza.
😂😂😂
munzeveni utakuva. vimbaya sana
M7 atuachie uganda azeeke pole pole na atuachie nchii yake cc kama kenya tutawachukua
😂😂😂 nyie wa kenya daah. Mmmh
Ilikua inatakikana akimaliza kuogea hiyo ujiga take atumiwe ndege za kijeshi
Eti wanapata msaada kwa putini ama kwa wa samia hassan.
Mseven umri wake unamfanya apoteze kumbukumbu
Uganda 🇺🇬 piga kenya 🇰🇪