Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote.
https://wasafimedia.co.tz/
πͺππππππππ Β©2025 πΎπππππ π΄ππ
ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ
.
#wasafi #wasafitv #wasafifm





Ata uweke B au T hamtoboi
Binafsi naamini tunafuzu na ninawaombe Staz SAMATA still nakuamini uwepo wako tu wanjani unatosha na najua kesho utawafunga mdomo wasiojua umuhimu wakoπππBig up Makonda mh.
Ngombe anenepi sku ya mnada
Hizo hela za kiki si bora ungezipeleka muhimbili wakati mkuu wa mkoa anawakejeli mama zetu pamoja na mama yako ,wakasaidiwe wanawake wanotuletea taifa jipya ,fikra ngumu tunakemea utekaji uuaji kuanzia uganda kenya na tz,peleka hela muhimbili kuna watu wanahitaji furaha pale.
Ccm banaa mnaacha kujenga academy za kukuz vijana na kuwapeleka ulaya na Amerika kupata experience ya ball unaenda dressing room mnadhan Roma inaweza kujengwa kwa cku mbili.