Kauli kwamba “Huna Jeshi, hupati urais Uganda” si maneno ya jazba, bali ni tafakuri ya historia na uhalisia wa siasa za nchi hiyo.
Katika kipindi hiki, Alex Mwa mtobe mchambuzi wa siasa za kimataifa na mchambuzi wa vita vya kimkakati, anachambua uhusiano kati ya nguvu za kijeshi na mamlaka ya kisiasa nchini Uganda, kuanzia enzi za mapinduzi hadi kuelekea uchaguzi wa 2026.





Alex unajua bwana❤🎉🎉
Nashukuru Ndg🤝
talk about it
About politics in Uganda