⚠️⚠️📌📌Disclaimer 📌📌⚠️⚠️
The content in this video is created for informational, educational, or entertainment purposes only. It is not intended to intimidate, offend, or discriminate against any individual or group.
We respect and uphold the rights and freedoms guaranteed under the Kenyan Constitution, including the right to human dignity, equality, and freedom of expression. Any views or opinions expressed are solely those of the creator and do not intend to violate any laws or constitutional rights.
If you feel any content violates these principles, please contact us directly so we can address your concerns appropriately.
🔴IIMAGES AND VIDEOS USED ARE FOR ILLUSTRATION PURPOSES ONLY.
Kenya vs Tanzania: Nani Ana Jeshi Imara Zaidi Afrika Mashariki? (KDF vs TPDF 2025)
Je, unajua ni nchi gani ina jeshi imara zaidi kati ya Kenya na Tanzania? 🤔 Katika video hii, tunafanya ulinganisho wa kina na wa kweli (fact-based comparison) kati ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF).
Tunachambua takwimu za kijeshi za mwaka 2025 tukizingatia:
✅ Idadi ya Askari (Manpower)
✅ Nguvu ya Vifaru na Magari ya Deraya
✅ Uwezo wa Anga (Air Force) na Helikopta
✅ Nguvu ya Majini (Naval Power)
✅ Bajeti ya Ulinzi (Defense Budget)
Huu ni uchambuzi wa kielimu unaoonyesha nguvu na maeneo ambayo kila nchi inatawala kijeshi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
📚 KUHUSU VIDEO HII:
Ulinganisho huu unatumia data zilizothibitishwa kuhusu uwezo wa kijeshi wa Afrika Mashariki. Wakati Tanzania inajivunia jeshi kubwa la kiulinzi lenye uzoefu mkubwa, Kenya inaongoza katika teknolojia, nguvu ya anga, na jeshi la majini. Tazama video hii kujua jinsi bajeti ya Dola Bilioni 1.1 ya Kenya inavyotumika kulinganisha na uwekezaji wa Tanzania
🔥 USISAHAU:
👍 Like video hii kama umefurahia uchambuzi.
💬 Comment hapo chini: Unafikiri ni jeshi gani lingeshinda vitani?
🔔 Subscribe kwa video zaidi za kijeshi na uchambuzi wa kina.
© Copyright Disclaimer ⚠️⚠️📌📌:
under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips the balance in favour of fair use.
#KDF #Tpdf #UPDF #KenyaMilitary #jeshilatanzania #UgandaMilitary #EastAfrica #MilitaryComparison #KenyaVsUganda #JeshiLaKenya #Museveni #Ruto #MilitaryPower2025 #LixerMedia





Huyu mchambuzi inaonesha wazi kuwa hajui chochote kuhusu masuala ya kijeshi hebu tumueleweshe vizuri kuhusu ubora wa jeshi la Tanzania na jeshi la Kenya jeshi la tanzania ndio jeshi bora zaidi kuliko jeshi la Kenya kitu cha kwanza unatakiwa ujue majukumu ya jeshi miongoni mwa majukumu makubwa ya jeshi lolote duniani ni kamisheni na operesheni maana yake ni kulinda kuzuia na kupambana ndugu mchambuzi na wengine hapa tunatakiwa tujue jeshi linalinda nini linazuia nini na linapambania nini jeshi linatakiwa lilinde nchi lizuie maadui na lipambanie haki kwa hiyo hata ukiona majeshi yanaenda nje ya nchi au sehemu yoyote ile wanaenda kufanya kazi hizo tatu ndio maana ya kamisheni au operesheni za kijeshi nchi ya Kenya kila siku inavamiwa na wahuni wenye silaha kuanzia mipakani hadi katikati ya miji wanafanya mashambulizi halafu wanatoka bila kudhurika sasa je hilo jeshi la Kenya limelinda nchi limezuia maadui wasiingie na kufanya uhalifu limepambania haki za wakenya maana kila siku wahalifu kutoka nje ya Kenya wanaingia Kenya kuhusu vifaa vya kijeshi ni lazima Kenya iwe na vifaa vizuri sana vya kijeshi kutoka uingereza na marekani kwasababu uingereza na nchi nyengine za wazungu huja Kenya kufanya mazoezi yao ya kamisheni za kijeshi baada ya mazoezi Kwa vile zile ni zana za kijeshi lazima Zikabidhiwe jeshi la Kenya kwa ajili ya uangalizi kuhusu bajeti ni lazima bajeti ya jeshi la Kenya iwe kubwa zaidi kutokana na vifaa walivyoachiwa kwa hivyo huwezi kusema jeshi la Kenya ni bora kuliko la Tanzania jeshi la Tanzania linailinda Tanzania ndio maana Tanzania iko salama jeshi la Tanzania linazuia maadui wasiingie kufanya uhalifu ndio maana Tanzania haivamiwi mara kwa mara na wahuni wenye silaha jeshi la Tanzania linapambania haki ndio maana raia wake wanatembea kwa kujiamini pande zote za nchi bila matabaka pia jeshi la Tanzania ndio jeshi pekee Africa mashariki lililoshiriki na kufanya vizuri katika kamisheni mbalimbali za kijeshi jeshi la Tanzania ndio jeshi bora zaidi kuliko la kenya
Muongo
Tz wako vzur
Wajichanganye wakenya kama hawaijui vizuri tz
Jidanganyeni sisi tunajeshi la mgambo linapenda vita kuliko kula kaulize nchi ilivyowapa uhuru africa na lipovamiwa na shababu unamtisha nani sisi mtume alishida na jeshi dogo jidangsnyeni tunawatamani kama tutaviteka vyote hivyo leteni ujinga wenu mnatukana tu nawangalia 2 mnataka msaada wa kupinfua nchi yenu mpate ardhi kama ss jez mnakili ya alonacha ila sisi tupo makini na hapa naaidi mbele mungu tanzania nitakulonda mpaka kifo hiki ni kihapo cha yote tuliosoma shule.ya serekal alafu sisi silaha tunapataga huko huko vitani
Fala wewe
Wewe kakupa nani idadi hio
Kenya wajilinganishe wao na Al shababi ndo kidoogo watalingana lingana wasijiliinganishe na tanzania kamwe. Tangu uhuru wa tanzania sijawahi kusikia kikundi chochote cha kigaidi kujaribu kuvamia tanzania, Bali naona kwa yeyote anaetaka kuijaribu tanzania Hukiona " cha mtemakuni"
Ivi kenya inaistolia yoyote yavita izotakwim zinatolewa mashoga wenzenu kama makabulu walikaa udiamini mwenyewe ndio uyo kama alishababi inawatowa vishundu
TANZANIA ni hatariii sanaaa si kama anavyo chambua MCHAMBUZI huyu. Tanzania impepambana sana vita vingi kuliko Kenya amini aisee
Kenya ni moto mkali 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nithamu na umoja ndio nguzo kuu ya mafanikio
Kwahiyo unataka Nini sasa maandamano bado kufanyik wewe unakuja na jeshi kweli nyinyi hamnazo
Tanzania the hero jeshi la kenya ni chini yakiwango
Tanzania Wataki hii post
Kenya ilipigana vita ipi ikashinda?Nina maana Haina udhoefu katka medani ya vita! Na fita ni fita mura!!!vita ni mahusiano na vita ni rasilimali Kenya wanazo?Ndio maana Ukraine katunisha msuri na urusi!Jambo usilolijua acha kaa kimya! Unazijua robot za kimila wewe?! Huwa zipo kazini!!!
Huo niongo
Uchambuz wa kishenzi us fananishe tz nahao wala mirungi
U r comparing Kenya with those dudes😂😂😂😂
Wakenya tuna damu ya udugu hatuna nywinywi like the way your politicians call us creature wanaotiririka who lack direction to go
Tanzania military speacial Ardhini ndo jeshi no 1 Africa not East africa
Kenya ni inch ndogo sana hawezi kupambana na akisema anaivamia tz hawezi ataumia tuu kwenya anapolelekea siyo kizuri
Tanzania ni Moto mkali kwa sababu wanajeshi wao wanamiliki silaha za kichina
Tanzania ina record nzuri ya kushinda vita vingi na kusaidia nchi nyingi kijeshi Africa ukilinganisha na Kenya haijawahi pigana na kushinda vita yeyote ile duniani
Wenye ameleta hio uchambuzi yeye anataka ukomenti yeye ingize pesa . please wacha kutusi Kenya, again wacha kutusi tanzania.be very careful we are bro and sisters.
Hujui chochote
Ten ajui kitu chochote tanganyik tulishilik kwenye nchi nyingi kuwasahidia kupata uhuru
Muongo mjinga hyo Siri ya ieshi
Unafirwa wewe
KENYA CAN NOT FIGHT TO TANZANIA TANZANIA ITS LIKE NYC OF MIDLIST 🌎💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👀
Kenya Hoye 💪
Mchambuzi wewe ni mkenya wewe!!!!!
Wewe faratu hunaunachojua kuhusu jwtz msenge wewe
Wee mchambuzi muflis hujui lolote tena acha uchonganishi kwa mataifa ndugu Tanzania na Kenya ni ndugu wewe ni kibaraka wa wakoloni ukome shetani lazima atakuwa hawara wako nasema tena ukome ukome dadadek
Uyu mkenya ni msenge mpunbavu sana wewe msenge malekani ndoho wanawap misahada
Pumbavu
Hizo takwimu za kujiifurahisha mwenyewe hakuna jeshi hapo pambana na al shbaabu ni saizi yako
Hii ni kutafuta chokochoko what we need is peace
Ako sawa mchanganuzi….Kaa unateta ingia google usiwe na kinyongo na kenya
Tz ipo juu tu
Wataje na askari wa British army ya Nanyuki wanamlinda nani wanlinda koloni
Tz nijeshi bola linauzowefu wamapigano ukianzia makabulu Uganda udiamini kenya alishababi uwa inawagongesha alafu kenya nijeshi lamashoga
Aende kwenye history ya Mwaka 1972,nyang,'au,
na 1972 Kwa Banda wa Malawi, utapata majibu sahihi kabsa,
Nyangumi
Kwa Malawi
Achana na TANZANIA we hujui jeshi letu
Tanzania ndio yenye nguvu zaid
Nguvu Sio Wingi Wa Siraha Wala Wingi Wawatu Ni Ujanja Wa Kivita Ndo Kitu Bolo
Jeshi la Tanzania 🇹🇿 ndio jeshi bora na imara 💪 kuliko jeshi la Kenya 🇰🇪
Jipe moyo tu huwezi kujua mambo yetu ya ndani TPDF ni hatari Africa
Huyu ni mchochezi anachochea vita kat ya Tnzania na Kenya anataka wapigane ili yy aingize kipato authubilahi minshetwani rajiim hutpfanikiwa Kwa uwezo wa mungu
Propaganda 🤢
Kenya tuko juu Kwa kilakitu, ila tunatumia akili ndefu kitambo mtuelewe matakua mmeumia, mfano Uganda tumewakodishia migingo, alshababu tunauza nao mkaa, SASa uhadui uko wapi Hawa ni majirani ,Tena sisi tukitaka kuandamana tunatoa kitu halafa tunapiga sherehe Kwa barabara tofauti na nyinyi, ikisikia kuhaijakiwa nisisi wenyewe tunajificha Kwa mashamba ya majani chai na kahawa halafu twajitokeza ,na nyinyi kilakitu mnafanya kikweli,kubalini tumewazidi Kwa mipangilio ,nguvu, na akili Tanzania Bado sana labda mtazidi Kwa masufuri
Huyu mkenya amechanganyikiwa
Kenya Iko na 50000 active military force, paramilitary GSU 10000,na AP para 20000
Kenya wako na Ml 28 havoc zaidi ya10 attack helicopters za kuchafua kifaa chochote Cha adui kinachotambaa ardhi
Unawajua JKT wewe na idadi kubwa ya wanachuo kabla ya kuingia chuoni wakimaliza form 6 wanakwenda JKT kabla ya kuendelea na masomo😂😂
Waongeze.vijana.kijeshi.kulingana.naulimwingu.unaendaje.asaivi.tuache.masiala.tutakuja.kupigwa.kamawatoto
Kenya
Tz hatuna jeshi kabisaaa
Wakenya wakikufata wewe basi ushawamaliza
Wanjeshi wa kenya wamesumbuliwa na shababu 60 wakisomali hawana lolote wakenya
Tumekutana wote hatujui chochote
HATA IDD AMIN ALIKUA ANA SILAHA KALI LKN ALIDUNDWA,KUA NA BAJETI KUBWA C VITA,
KM NINI TUZICHAPE JAPO ZA SIKU 3 TU MUONE KM HATUTOFIKA NAIROBI KM TULIVYOINGIA KAMPALA
Unajisifu umepigana wkt unapigana na maharamia wa kisomali!? Waulizeni walaiberia, syschells,msumbiji,m23 ,waganda na shoga zenu wengine watakwambieni
Waambie hao wakenya wenzio wajaribu Kidogo tu, alafu ujue kwanini Rough Road doesn't have zebra crossing
Kenya wameenda kusaidia kulinda amani Kwetu HAITI 🇭🇹 lakini mpaka leo wanahangaishwa na kundi la wahuni wa mtaani ila wangeenda JKT wa Tanzania 🇹🇿 wangesha maliza mission 😂😂 vyombo vya kisasa kenya wanajitahidi ila shida mafunzo ya medani za kivita na uwezo wa kijeshi ndo kipengele yaani Kenya na vifaa vyake vyote hata tukimuachia ndugu yetu Rwanda nchi ndogo wapigane nayo Kenya haiwezi kuhimili naamini ndani ya miezi mitatu Naamini Kagame Atakua ndani ya Ikuru ya kenya kama President😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
america
We peleka matope huko hiyo ni uchambuz gani,waambie bas waingie kumi na nane zetu
Muongoooo tuna mpaka vt 2 tanks pia tuna magari kutoka uturuki huna unalolijua kuhusu tanzania
Tuna vitu vingi kenya hawana yaani hii mijitu ya kenya inapenda sifa za kijinga nenda kaangalie miaka 60 ya jwtz utaona baadhi
Uchambuzi umeelemea upande mmoja inaelekea huo ni unazii na ufashinisti
Atawaponza wakenya maana lugalo hata vifaa havionekani
Tz juuuu juuu
Kenya ni nchi ya kibaraka wa marekani na jeshi lake ni jeshi la vibaraka wa marekani
Kenya msijidanganye tutakupigeni hadi mtashangaa
Tanzania ni baba lao nidham niushindi kuliko silaa yoyote alio wahi tengeneza binadam duniani
Upumbavu wa Kenya utajulikana tu siku wakijidai wanapigana na Tz Tanzania ni Twiga na Kenga ni simba teke moja tu la twiga latosha kuondoa uhai wa simba, japokuwa simba anaongoza kwa ukali kelele na fujo hivyo simba mmoja hafui dafu kwa twiga mmoja. Hilo tu litoshe kujua kwamba Tanzania ni zaidi ya Kenya kwa vision na power. Tunakula vya juu na tunaona mbali ambako simba hana hizo sifa.
Upumbavu wa Kenya utajulikana tu siku wakijidai wanapigana na Tz Tanzania ni Twiga na Kenga ni simba teke moja tu la twiga latosha kuondoa uhai wa simba, japokuwa simba anaongoza kwa ukali kelele na fujo hivyo simba mmoja hafui dafu kwa twiga mmoja. Hilo tu litoshe kujua kwamba Tanzania ni zaidi ya Kenya kwa vision na power. Tunakula vya juu na tunaona mbali ambako simba hana hizo sifa.
Jidanganyeni tz ni bora saana dhidi ya kenya
Kenya na tazania na Uganda ni ndugu
Ira hapo mtafautishe mwenye panga na mwenye upinde ndipo mtajua mubabe nipeni jibu niweze kuwapa jibu nimukenye
Sisi tanzania ni wa jamaa .huwezi jua silaha zetu
Kenya hawatuwezi TZ na ndo mana tukienda nchi yoyote kulinda amani tunaogopwa na kuandamwa sana pesa si utaalamu wa kivita
Ameegemea upande wa kenya cku wajichanganye ndio watajua kumbe jeshi la Tanzania sio la masihara
Watanznia wanaongea ju wameelewa kiswahili 😂💔
Kenya hawajawah kupigana vita kwanza wapigane na Uganda
Majeshi yote Yana uwezo mzuri tu. Na wewe uliechambuz ni mpumbavu tu.
Jambo la ukubwa wa majeshi na uwezo ni Siri ya nchi nani ukupe wewe mmbwa taarifa za ndani😂😂😂
Wewe nimkenya ujui chochote jeshi nisiri fala kweli mtu angu
Tunaangalia nidhamu
Jeshi la Kenya ni la wazungu. Siyo la mwafrika
KENYA 🇰🇪 INAFAHAMIKA WAAZI KUWA NI KIBARAKA WA ULAYA MAGHARIBI NA AMERICA 🇺🇸 KWAKUWA NI KIBARAKA WA MABEBERU , NI KWELI HIVI KARIBU TU MABEBERU WALIMPA SIRAHA NYINGI ZA BURE ILI IKIWEZEKANA AZITISHE HIZI NCHI ZA AFR/MASHARIKI , NA NILIMSIKIA RAISI JOE BIDEN , MWAKA JANA BAADA YA KUWAPA SIRAHA HAAWA MAMURUKI NA VIBARAKA YAANI ',,KENYA ALISEMA KENYA NI SEHEMU YA NATO YA AFRIKA"" NILIMUONA YULE MZEE NI MPUMBAVU TU PAMOJA NA VIBARAKA WAKE HAO WASHENZI TU HAWANA LOLOOTE,,
Kenya japo ndugu zetu tuzichape ata 3days .
Somaria nn sisi tulifukuza idi amini alio sumbua East Africa..
Good job
Do not compare Kenya with Tanzania bro,in terms of military,Kenya is a super power of East Africa
Mbona jeshi la Tanzania wameshindwa ata kumaliza watu wanaowateka ndani nchi Yao wenyew. Me ninavyoona Kenya na Tanzania wote hatuna majeshi Kenya na wenyew wanasumbliwa na makundi za kijinga East Africa hakuna jeshi in general
Unazani unaweza kupata siri za jeshi la Tanzania,siraha ni siri.
Jinga sana ww